Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Usicoment hapa kama huna vina,
hatutafuti majina,
natiririka na vina,mpaka wapinzani wanasimama wima,
Moyo umekua mwepesi, sababu ya vitu vingi tumevitupilia mbali. Wakati wowote ule unapohitaji vitu flani, bidii ni kitu cha lazima.Tanzania ni inchi ya watu wengi wenye makabila mbali mbali. Na wenye mali na hali mbali mbali. Msimamo wangu ni mkali mithili ya pili pili. Ukipita mahala flani unawawacha watu wakilia,nikama wakati vitungu vinatayarishwa.Sitaki kuonekana nikama nimepoteza wanaosoma mawazo haya lakini kuwaelimisha kwa kiwango flani. Ndiyo badaye nisikie flani na flani alibarikiwa kwa kusoma yale maandishi niliyoandika. Lugha ni mgumu mno lakini ni bora kushinda kutosoma ama kuandika mawazo niliyonayo. Nataka niwe marufu kwenye msafara, jina liweze kungara, litambulike kati ya majina marufu duniani. Wakati Professor Jay, Juma Nature na Solo Thang wanapoitwa, jina langu liweze kutajwa wakati huo,mi sio bongo fleva ila najaribu tu kutunza tamaduni iliyo njema