Mwinjuma muumini wa double m sound

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
Habari zenu wakuu ndugu zangu.Ni miaka inazidi kukatika sijasikia habari zozote za Mwinjuma muumini.Yuko wapi?Muziki vp?
 
Alilewa umaarufu akajimaliza na kubakia kuwa misheni to town. Aliingilia kuoa na kuacha asijue ndiyo kitanzi chake kisanaa. Hao ndiyo wasanii wa Bongo. Leo yupo kesho yuko kwenye kaburi la sahau akiganga njaa. Yuko wapi Bishanga?
 
Du aisee wakuu asanteni kwa taarifa.Unajua hawa wasanii wetu yaani wanalewa umaarufu kisha wanapotea.Nguvu ya soda jaman
 
Alilewa umaarufu akajimaliza na kubakia kuwa misheni to town. Aliingilia kuoa na kuacha asijue ndiyo kitanzi chake kisanaa. Hao ndiyo wasanii wa Bongo. Leo yupo kesho yuko kwenye kaburi la sahau akiganga njaa. Yuko wapi Bishanga?
Alienda kumalizwa Tanga la jini la kiarabu, akaanza kumkandia mkewake wa kwanza wa ndoa kisa umaarufu. ... Kule Tanga unarogwa huku unabembelezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom