Ni Actor gani unamkubari kwenye series?

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,385
10,659
Wakuu...
Kwa wadau wa series hebu tuambie unamkubali nani. Binafsi namkubali na kumpenda sana Jack Bauer wa 24 Hrs. Anajua kuvaa uharisia wa hali zote. Ni mzalendo na anajua namna ya kuwavuta watazamaji. Ni mtu anayejua sana mtazamaji unataka nini.

Anatumia akili sana na ubunifu.

Huvaa mavazi kadili ya mazingira. Hana fictions nyingi zaidi ni uhalisia....

"...the following takes place between 9:00 A.M and 10:00 A.M. Event occurs in real time" (kwa sauti ya Jack)

Rafikie mkuubwa ni Chlore O'brian. Huyu binti nachompendea ni utaalamu wa computer hasa hacking. Napenda alivyo halisi, sio kila movie hacker ati lazima awe maneno miingi, sijui chizi, chizi. Chlore anatulia ila anakudukua haswaaa.

Wapo kina Michael, Sucre, T bag n.k ila nampa heshima Jack.

Erick Carter wa 24 Legacy mzuri, ila hata nusu ya Jack badoo. 24 legacy inakosa utamu wa Jack, so they should bring back our Jack.

Je, wewe unamkubali yupi?
 
Ulaya na america ni tofauti na huku,,huku mtu anakiduku na heren halaf ndio mkurugenz aaaahag ila wenzetu wanajua sana kuuvaa uhusika,,muangalie kama Sucre,muangalie Michael,,yaan utaona kwel wenzetu wametuzid kla idara
 
Back
Top Bottom