Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Kiukweli bongo fleva sasa ni biashara,vile utakavyoweza kuwateka mashabiki,..haina tofauti na yule mkorea gangnam style,sio kwamba ni good music ila mbwembwe nyingi..same happend to ali kibas song,..hii nyimbo ni MBAYA sjawai ona,..hata baraka prince ananyimbo kali kuliko,ila nmestaajab jins hii nyimbo ilivyo shine,..i dont know,these days ukitoa nyimbo mbaya ndo inahit ama vip..alikiba anajua sana,especialy nyimbo zake za zaman kama my everythn etc,ila hii ya sasa,yaan nmeamin Mange kimambi ana influence kubwa kwenye media za bongo..na ali amshkuru sana huyu dada,..