Ben Pol ft Chidmma- kidume

Ben Pol ft Chidmma- kidume

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,945
Reaction score
23,891
Nakupongeza kwa kurejea. Ulituvuruga sana hapa mashabiki wako wa damu na zile ishu za mafuta...
Mambo ya ebitoke na affairs zako nyingine za mapenzi hayatuhusu.. Jana umeguguma sana XXL wakikufukunyua.

Hili ngoma ni kali. Karibu tena. Shida yetu sisi ni good music.
 
Vijana sasa wanafanya kazi.. vijana wameamua kuimba.

Ngoma zinazoachiwa receńtly ni kali mnoo..

Ben Pol safiii... hit
 
Ukija kipimbi pimbi sahivi kama akina gigy sijui .".nampa nampa papa nampaa...."

hahaa..huchomoi
 
Mi Ben pol toka aitwe Studio na kusutwa na shilawadu pamoja na Snura sina hamu nae kabisa.
 
Dah af huyu bidada chidnma huwa nampenda mzuri kinoma ..
 
Dah af huyu bidada chidnma huwa nampenda mzuri kinoma ..
Chidinma-Ekile.jpg
kanafaa kwa matumizi ya binadam... Sema wabongo bila chura hawakuelewi...

Haha...
 
Interview nzur sana jana ya xxl.. ila alkua anakwepa maswal balaaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom