Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Meneja wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Hamisi Taletale kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema, yupo tayari kujenga ukumbi wa starehe hata kesho kama Serikali ya Tanzania itamruhusu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Oyooooo...! Moderators please Niko chini ya miguu yenu naomba msiunganishe huu uzi na ule mwingine. Haya hayaa wale wenzangu na mimi wa mitaa ya Seoul (Seoul ya JF usiogope), ile siku iliyokuwa...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Wahenga wenzangu kipindi cha nyuma kulikua na dawa ya kikohoo iliyokuwa inaitwa MKOJO WA PUNDA,Hivi KWELI ile dawa ilitenenezwa kwa mkojo wa punda au zunga..?
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Habari wandugu, radio yangu inaishia 90MHz. Nafanyaje niweze kusililiza stations kama choice FM ambazo ni 102.5? Asanteni in advance,
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye Movie ya kozopata ya Wastara na Sajuki anitumie link yake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Movie ishatoka jana na iko YouTube tayari.nawapongeza Sana bongohoodz pichaz wanatoa movie Kali sana.wahuni wakubwa niliikubali Sana na hii ya siku za arosto kweli one kacheza inavyotakiwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Historia huwa inajirudia: Mechi ya kwanza: Nigeria 2 Taifa Stars 1 Mechi ya pili: Misri 2 Taifa Stars 1 Mechi ya Tatu: Ivory Coast 0 Taifa Stars 0 Pia tukumbuke kipindi hiko ndio tuliwahi kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeutafuta Sana YouTube hakuna version nzuri. Mwenye nao tafadhari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
o_Oo_Oo_O
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Wadau kuna wimbo nautafuta sana, ni wa zamani kiasi na bahati mbaya sijui unaitwaje lakini kuna kipande kama sio chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...”. Mwenye...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za mda huu..bila kupoteza muda,nimekuwa mdau mkubwa wa makala za huyu gwiji wa habari za michezo kwenye magazeti na mitandao,yupo vizuri,yupo kisasa zaidi,he is very smart... Huwa napatwa...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Huo ndio ukweli!!! Siku tukiacha siasa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu tanzania ndipo labda tutaweza kupambana na senegal angalau,...hakuna tajiri mwenye pesa zake atakua wazi kuwekeza pesa...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
MUZIKI NA UCHAMBUZI Wimbo: Kesho yetu Msanii: one the incredible Albamu: Soga za mzawa Mtayarishaji: texas Studio: mlab ( tamaduni music) Muziki unaowakilisha utamaduni wa hip hop , umekuwa...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
mimi simuelewi kabisa anachoimba, hv nyie mnajiita team diamond na wote mnaompenda,huyu ndugu anaimba nini? mimi simuelewi kabisa nilikua fan wake mkubwa lakini kwasasa naona kama anacheza...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Hii mutu naikubali sana,hii mutu ya watu kabisa na ni mutu ya mupira
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ngoma Kali Sana kiukwel diamond unatupa burudani tunayotaka nimependa Sana content ya wimbo.
7 Reactions
89 Replies
11K Views
Wakuu njooni tufurahi pamoja, Mimi napenda sana hii mchezo kuuangaluia hasa kwemye mashindano ya kimataifa ambapo kuna wanawake wa kiafrika.Nashindwa kuweka video maana ziko YouTube zimenishinda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Steringi wa hii filamu alikuwa ni demu mweupe mzuri mwenye nywele ndefu, huyo demu Mara nyingi alikuwa anapendelea kuendesha farasi, hlf huyo demu alikuwa anajua kupigana sana, hlf filam nahic ni...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
*IJUE YANGA* Wakiwa na pesa wanajiita *DAR YOUNG AFRIKA* Wakiishiwa wanajiita *TIMU YA WANANCHI* Wakikosa kombe wanajiita *MABINGWA WA KIHISTORIA* Yani wanailazimisha furaha hata kama haipo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom