comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,350
- 16,948
mimi simuelewi kabisa anachoimba, hv nyie mnajiita team diamond na wote mnaompenda,huyu ndugu anaimba nini?
mimi simuelewi kabisa nilikua fan wake mkubwa lakini kwasasa naona kama anacheza manyanga kama mganga wa kienyeji..
nyimbo hazieleweki.
5
mimi simuelewi kabisa nilikua fan wake mkubwa lakini kwasasa naona kama anacheza manyanga kama mganga wa kienyeji..
nyimbo hazieleweki.
5