Nani yupo nyuma ya Safari za Edo Ulaya?

Nani yupo nyuma ya Safari za Edo Ulaya?

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,202
Reaction score
2,001
Habari za mda huu..bila kupoteza muda,nimekuwa mdau mkubwa wa makala za huyu gwiji wa habari za michezo kwenye magazeti na mitandao,yupo vizuri,yupo kisasa zaidi,he is very smart...
Huwa napatwa na maswali sana kwani mara kwa mara huzuru ughaibuni,mara belgium,holland,france,swis,spain n.k
Ni kazi/ofisi inamtuma kututafutia habari za sports au ndio utoto wa mjini na ile biashara nyeti? Zingatia kuwa sina wivu nae...Watoto wa mjini karibuni mtupe maujanja ili nasisi wa Kolomije tutoe tongotongoView attachment 1095078
2041603833947381258.jpg
 
Mimi hapa Mkuu ndo niko nyuma yake kuna lingine kama hakuna basi case closed
Mkuu huyu gwiji huwa anani_ispire sana,unajua sisi juniors huwa tuna ma_role models,sasa yasije yakawa mambo ya Shamim? Nikajikuta niko na wrong model?
 
Wapo watu wengi wanasafiri mara nyingi tu kwenda nchi mbalimbali ila kwakuwa hawajapost kwenye mitandao huwezi kujua!! Ukitaka kusafiri mara kwa mara hata kama ni mikoani angalia kwanza kazi unayofanya!
 
Afande Sele alishawahi kueleza kilichopo nyuma ya safari za hawa jamaa na pamoja ya Maulid wa Kitenge
 
Ni basi lakini kama angapata nafasi ya kukujibu yeye mwenyewe nadhani ungetamani kuhama nchi.

Huyu jamaa ana majibu ya shombo anaweza kukujibu jibu moja ukajiangalia hivi kweli viungo vyote vimekamilika?
 
Back
Top Bottom