It's Captain Yoo and Doctor Kang's Day

Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
27,291
Likes
17,754
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
27,291 17,754 280
Oyooooo...!
Moderators please Niko chini ya miguu yenu naomba msiunganishe huu uzi na ule mwingine.

Haya hayaa wale wenzangu na mimi wa mitaa ya Seoul (Seoul ya JF usiogope), ile siku iliyokuwa inasubiriwa na wapenzi wa Korean drama hasa mashabiki wa Songsong couple yaani Song Joong Ki a.k.a Big Boss na Song Hye Kyo a.k.a Beauty ndo leo imewadia.
Ni ndoa ya hawa mastar wawili wa tamthiliya ya Kikorea inayokwenda kwa jina la DESCENDANTS OF THE SUN ambayo kwangu mimi ni kati ya drama bora kabisa nilizowahi kutazama tangu nilipoanza kuwa mlevi wa hizi kitu.
Daah ilianza kama utani utani kutoka kwa mashabiki mara paap tukashangaa wametangaza ndoa.
Kama umebahatika kutazama hii drama hebu tupia kituko au scene iliyokufurahisha ama kukuvunja mbavu.
Naanza mimi...
1. Ilinivutia lile tukio ambapo Dr Kang alinasa kwenye mwamba gari inaning'inia kwenye maji then Captain kaja kaiporomoshea gari kwenye maji... oppa was so cool .
2. Ile scene waliyopokea parcels toka Korea wakati wao wako kule field...jinsi walivyoikimbilia kila mtu anataka akaiwahi yeye na jinsi walivyokuwa wanagongana cousin ni aliyeko right au left
3. Tukio lililonitoa machozi ni pale wale mabinti wawili walipopokea taarifa za 'vifo' vya wapenzi wao then baadae wakarudi aisee..
Kifupi ni drama ambayo huchoki kutazama...OST sasa...! Kawaida mimi hata nikiupenda wimbo kiasi gani, nikimaliza kuangalia drama na wimbo unasahaulika hapohapo ila sio ule ulitumika hum unaitwa ' How can I love You' ...hapana huu wimbo ni mzuri jamani nitautupia hapo chini.

images-286-29-jpg.620981

Bwana arusi
images-285-29-jpg.620984

Bibi arusi
aminas mamaa wa picha tupia za ukumbini
Damushin sunbae siamini umeenda mwenyewe arusini mimi umeniacha.
Wapenzi wa Korean drama EMPTY scalethat Mrs Van Prishaz mbelwaz UHURU JR karibuni tuwapongeze hawa vijana na tuwatakie maisha mema
images-283-29-jpg.620995
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
27,291
Likes
17,754
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
27,291 17,754 280
reunion-of-dots-team-at-ssc-wedding-kim-eun-sook-2ckim-ji-won-2ckim-min-seok-2c-jo-jae-jpg.622431

Descendants of The Sun cast at Kikyo wedding
 
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
2,798
Likes
10,095
Points
280
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
2,798 10,095 280
View attachment 622431
Descendants of The Sun cast at Kikyo wedding
namuona mwanamama kim eun sook amevalia kikawaida tu na hana maringo. huyo ndio mwandishi bora wa drama kwa mwaka 2016 kwa sababu drama zake zote zilifanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri, nazungumzia descendent of the sun na goblin drama.
pia ameandika drama kama the heirs, secret garden na gentlemen dignity.
na mwaka 2018 anakuja tena na drama inayoitwa Mr Sunshine ambayo bajeti yake kwa kila episode kwa kuwa shilingi ya tanzania imeshuka na haina dalili ya kupanda basi inafika billion 1.7
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
27,291
Likes
17,754
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
27,291 17,754 280
namuona mwanamama kim eun sook amevalia kikawaida tu na hana maringo. huyo ndio mwandishi bora wa drama kwa mwaka 2016 kwa sababu drama zake zote zilifanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri, nazungumzia descendent of the sun na goblin drama.
pia ameandika drama kama the heirs, secret garden na gentlemen dignity.
na mwaka 2018 anakuja tena na drama inayoitwa Mr Sunshine ambayo bajeti yake kwa kila episode kwa kuwa shilingi ya tanzania imeshuka na haina dalili ya kupanda basi inafika billion 1.7
Daebak...ila watu hawa bwana wamebarikiwa aisee hata hao waigizaji wenyewe walivyo simple sasa...siwajui maisha yao halisi nje ya drama ila wanaonekana ni watu poa sana hata ukijaribu kulinganisha matamasha yao ya filamu, mastaa wao wanavyobehave ni tofauti kabisa.
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
28,071
Likes
62,279
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
28,071 62,279 280
namuona mwanamama kim eun sook amevalia kikawaida tu na hana maringo. huyo ndio mwandishi bora wa drama kwa mwaka 2016 kwa sababu drama zake zote zilifanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri, nazungumzia descendent of the sun na goblin drama.
pia ameandika drama kama the heirs, secret garden na gentlemen dignity.
na mwaka 2018 anakuja tena na drama inayoitwa Mr Sunshine ambayo bajeti yake kwa kila episode kwa kuwa shilingi ya tanzania imeshuka na haina dalili ya kupanda basi inafika billion 1.7
The Heirs nimeiona secret Garden pia...
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
28,071
Likes
62,279
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
28,071 62,279 280
Woow kumbe na wewe mdau eeh?
Wifi yako anapenda najikuta nimeangalia tu... Ebu nikumbushe The Heirs.

Hiyo ya Garden si kale karembo kalikuwa Stunt kalipendwa na mtoto kwa kishua mama mtu akawa anabana.
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
27,291
Likes
17,754
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
27,291 17,754 280
Wifi yako anapenda najikuta nimeangalia tu... Ebu nikumbushe The Heirs.

Hiyo ya Garden si kale karembo kalikuwa Stunt kalipendwa na mtoto kwa kishua mama mtu akawa anabana.
Secret Garden sijaona ila The Heirs mtoto wa kishua alimpenda mtoto wa house maid baba mtu akawa anabana
 
Forum statistics

Threads 1,251,853
Members 481,915
Posts 29,787,757