Ijue Yanga

Ijue Yanga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,062
Reaction score
856,574
*IJUE YANGA*
Wakiwa na pesa wanajiita *DAR YOUNG AFRIKA*

Wakiishiwa wanajiita
*TIMU YA WANANCHI*

Wakikosa kombe wanajiita
*MABINGWA WA KIHISTORIA*

Yani wanailazimisha furaha hata kama haipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikitokea wakafungwa na Simba utasikia sisi tushamfunga zaidi yake, wakikosa kombe akabeba Simba utasikia sisi tunawazidi tushabeba zaidi yao, hawa ndio ndala aka vyura
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama chama chawala tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
wakimtaka mchezaji kumsajili halafu wakazidiwa na Simba wanaanza kumponda huyo mchezaji maana wanaweza kumwita mzee mfano waliposhindwa kumsajili Kagere
Wao wanaona ni halali kusajili mchezaji toka Simba ila Simba wakitaka kusajili toka kwao ndio utasikia wanatoa ushauri kwanini huyo mchezaji asiende kucheza nje ya nchi mfano ni Ajib
 
*IJUE YANGA*
Wakiwa na pesa wanajiita *DAR YOUNG AFRIKA*

Wakiishiwa wanajiita
*TIMU YA WANANCHI*

Wakikosa kombe wanajiita
*MABINGWA WA KIHISTORIA*

Yani wanailazimisha furaha hata kama haipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mkuu umesema kweli,sasa hivi eti Mabingwa wa kihistoria ,shida ya Yanga inataka muda wote wajulikane wao Mabingwa wanaona aibu kuitwa Yanga bila neno ubingwa.
 
*IJUE YANGA*
Wakiwa na pesa wanajiita *DAR YOUNG AFRIKA*
Wakiishiwa wanajiita
*TIMU YA WANANCHI*
Wakikosa kombe wanajiita
*MABINGWA WA KIHISTORIA*
Yani wanailazimisha furaha hata kama haipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kauli yetu ni Daima mbele nyuma mwiko.
 
wakimtaka mchezaji kumsajili halafu wakazidiwa na Simba wanaanza kumponda huyo mchezaji maana wanaweza kumwita mzee mfano waliposhindwa kumsajili Kagere
Wao wanaona ni halali kusajili mchezaji toka Simba ila Simba wakitaka kusajili toka kwao ndio utasikia wanatoa ushauri kwanini huyo mchezaji asiende kucheza nje ya nchi mfano ni Ajib
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom