Mbosso – Maajab
Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna...
nimeafungua my channel jana naanza upload vichekesho, nafanya editing before post
naomba mkatazame mnipe ushauli nini ni improve
https://www.youtube.com/channel/UCN4QnPaEDDrH0Al9UZtYmAw
Wakuu Habari Ya Uzima, Nina Wazo Moja, Tanzania na Dar es Salaam Hatuna Ukumbi Mkubwa Wa Kufanyia Matamasha Makubwa Hasa Burudani Mbali Mbali Kuchukua Nafasi Ya Leaders Club.
.
Sasa Wadau wa...
NYEMO CHILONGANI.
SHAMBULIO LA DAMU
0718069269.
Sehemu ya kwanza.
Dunia nzima ilikuwa kimya kwa muda, hakukuwa na mtu aliyeamini kile kilichokuwa kimetokea. Waliokuwa mbali na televisheni...
Wakuu tusaidiane kutungs nyimbo yenye jina hilo juu. Ikiwa tayari tutanunua beats za nyimbo ya Diamond " The one"
Mie naaanza hivi
Wacha waseme , wacha waseme wacha wasemeeee.
Wapambe...
Wakuu habari zenu kuna movie niliiona miaka ya nyuma kwa kiswahili tulikua tunaiita Jeshi la wafu naomba official name yake wakuu kama kuna anayejua wakuu Ahsante.
WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE) NA MA-DJ WAKALI!!!
Zamani ilikuwa raha sana ambapo jiji la Dsm lilitamalaki disco lililokuwalikianza mchana(Boogie) hadi usiku. Enzi hizo...
Leo ni siku ya uhuru wa marekan je kama na ww ni team usa leo tunasherekea uhuru ambao tulio upata kwa nguvu zetu wenyewe kupitia mkuu wa jeshi kipindi icho GEORGE WASHINGTON Je unasherekea ukiwa...
Wadau wa mziki hapa nchini kuna wanamziki wengi vilevile na wasanii kibao ambao ndo wengi zaidi. Kiboko yaoni kundi linaitwa WAMWIDUKA BAND wanamziki wa tanzania wasiojua mziki wakasome kwa hawa...
Yep ni Tambaza. Kwani kuna shule gani tena nyingine inafua dafu?! Come on pipo, let's be honest...
Naongelea Tambaza Sec. School. Shule iliyotoa watawala wengi wa nchi hii. Shule iliyokuwa na...
Habari zenu wadau...leo nimeona tujadili kidogo vya nyumbani maana niliona threads moja ikitaja movies zenye sex scenes nyingi na hapo ndipo wakina Spartacus,game of thrones na nyinginezo...
Wimbo: Hisia za moyoni
msanii: Songa ft Double
mtayarishaji : Double
studio : Tamaduni music
Muziki mzuri ni ule wenye uwezo wa kuteka hisia za wasikilizaji. Wasanii wachache sana wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.