ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Movie ishatoka jana na iko YouTube tayari.nawapongeza Sana bongohoodz pichaz wanatoa movie Kali sana.wahuni wakubwa niliikubali Sana na hii ya siku za arosto kweli one kacheza inavyotakiwa uhalisia umeonekana