Kanyaga ya diamond

Kanyaga ya diamond

Achana na kutamka maneno yenye ukakasi ambayo wengine hatuyapendi lakini huyu ndio msanii pekee anayejua kucheza na akili za mashabiki wake na kuwapa kile wanachotaka na kwa kila makundi. Na ni kijana ambaye kwa wivu tu kuna watu kutia ndani baadhi ya viongozi wanapambana usiku na mchana kuhakikisha wanamshusha. Wanatamani kumuona anarudi tandale kula mihogo na miguu ya kuku kwenye zile meza za barabarani.

Nakumbuka kuna nyimbo ilipigiwa chapuo sana na baadhi ya viongozi kwamba mziki wa Tanzania umetendewa haki lakini ukifuatilia huyu bwana mdogo ana nyimbo zaidi ya 10 ambazo amezitendea haki na kuitanga nchi kupitia nyimbo hizo lakini hasemwi kwa mazuri na hata hayo mabaya wanayomsema wengine wamefanya zaidi yake. Kwani ni wasanii wangapi wana watoto zaidi ya 4 kwa mama tofauti na hawazungumziwi kwamba wanawatenda wanawake vibaya?

Na sasa hivi atawakanyaga kweli na MKANYAGIO WAKE alioutoa. Huu utakuwa wimbo wa taifa. Hata kama humpendi utajikuta umeimba huku unaumia.
 
Hujamuona mange na povu alilotoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom