Muda mfupi uliopita,Lundenga akiongea na waandishi wa habari amesema Miss TZ 2014-2015 ana miaka 23 na hana masters ana degree.Kwa maelezo hayo anafaa kuwa miss Tz na hatavuliwa taji.
Mwaka 2005...
Hawa vijana wa kings music ya King kiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wana uwezo mkubwa sana ila naona wamekosa promo kutoka kwa boss wao.
Alikiba jaribu kufanya mziki kisasa uwa-brand...
Wakuu heshima kwenu .
Kwa muda mref sana nimekuwa natafuta hiz nyimbo,
1 VAA VIATU wa Jangalason
2 PESA..huu sikumbuki kwaya iloimba. Na album ilkuwa inaitwa hivo ivo PESA
Nawasilisha
Wanaforum tukutane hapa kuhabarishana vitu/matukio ya kuvutia katika fainali hizi za mwaka huu 2019 zinazotarajiwa kuanza Ijumaa hii ya tarehe 21/6.
Tuanze kwa kushuhudia muonekano wa muonekano...
Leo nimeamka tokea asubuhi nimekuwa nikisiliza nyimbo zilizo tamba enzi hizo napata masomo mengi sana na nyingine hata zina lenga maisha ya sasa tunayoishi
kikubwa tusikilize ujumbe pamoja...
Nimejaribu kusikiliza miziki inayopendwa sana na vijana wa kileo, inayojulikana kama Bongo fleva kwa makini,lakini sijaona kama zina ujumbe wowote kwa wasikilizaji
Ukilinganisha na miziki ya...
MKASA WA KWELI
NILIMUOA JINI PASINA KUJUA
NA ZUBERI MARUMA
Whatsupp no 0759527654
No 01
Mungu muumba,aliumba majini na binadamu hili wa muabudu,katika uumbaji wa majini kuna majini wema wanao...
Je, wajua Animation ya MOANA kwa Italy inajulikana kama OCEANIA, hii ni kutokana na kuwepo kwa mwanadada maarufu kwa kuigiza filamu za ngono aliejulikana kama Moana Pozzi.
Hii ilipelekea...
Dingi - Mandojo & Domokaya flow ya mashairi ni nzuri tena yanoyogusa na upande wa production ni 100% perfect. This song deserve to be the best song of bongo flava all the time.
Muda umeenda Sana ukilinganisha na kule mziki Wa Bongo fleva ulipotoka nafikiri mziki umekua kiasi kuelekea kule lengo linapoitajika.. Kwa wewe Ni nyimbo gani unazikumbuka na haziwezi potea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.