Mkojo wa punda

Mkojo wa punda

Joined
Nov 23, 2013
Posts
82
Reaction score
121
Wahenga wenzangu kipindi cha nyuma kulikua na dawa ya kikohoo iliyokuwa inaitwa MKOJO WA PUNDA,Hivi KWELI ile dawa ilitenenezwa kwa mkojo wa punda au zunga..?
 
Siku ukiacha kuvuta bange utajibiwa endelea kuvuta kwanza tukukute milembe
 
Harufu yake ndio ilisababisha iitwe hivyo.
Dawa nilikuwa siipendi ile[emoji134]
 
Back
Top Bottom