Anaekumbuka jina la hii filamu iliokuwa inaoneshwa itv mwanzoni mwa mwaka 2000 atukumbushie

Cute Cindy

JF-Expert Member
Apr 9, 2019
211
591
Steringi wa hii filamu alikuwa ni demu mweupe mzuri mwenye nywele ndefu, huyo demu Mara nyingi alikuwa anapendelea kuendesha farasi, hlf huyo demu alikuwa anajua kupigana sana, hlf filam nahic ni ya kilatino though wanaongea kingereza

Mavazi ya huyo demu yalikuwa ni suruali nyeusi inayobana, mabuti marefu meusi yanayobana kuanzia magotini hadi kwenye unyayo na mask cjui kwa kifupi dem alikuwa na mavazi yake meusi tii ya ki-hero..dem pia alikuwa na hips namba 8

Anaeikumbuka vizuri hii filam atuambie jina
 
Beauty n the Beast
 
Hiyo inaitwa NIKITA. Ukiandika hilo jina Google utamuona huyo mrembo matata sana.
Huwa ninamkubali sana NIKITA na Cynthia katika waigizaji wa kike wa filamu za mapigano
 
Back
Top Bottom