Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

👆👆👆kama kichwa cha habari.. Help please.. 🙏
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Niseme kwamba hakuna watu wanaojua kuimba kama watu wa gospel. Mimi ni mpenzi sana wa music but nimekuja kujua gospels singers ni watu wanaimba sana. Nitawatajia baadhi ya waambaji alafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi dotto Imeli ayumo? kama umo humu ni pm mtu wa Mungu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwanini vyombo vingi vya habari vinadharau pale unapowahitaji. Unawaeza ukawaandikia email au Wasap au call zinafika lakini hawapokei wanasoma lakini hawajibu. Tatizo linakuwa wapi?
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Laizer atabak producer bora kwa sasa hapa Tanzania (kwangu)
6 Reactions
90 Replies
17K Views
BADO NAKUPENDA SANA :04 alishawahi kufanywa mjinga sana na kijana aliyekutana naye kabla ya Hansy, alisema "kabla sijaingia rasmi katika mahusiano na Hansy, nilikuwa na mpenzi niliyehisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BADO NAKUPENDA SANA :03 unahitaji nini leo, maana mzigo mpya huo" Ney alijitahidi kujiongelesha lakini binti yule alimsogelea Ney nakumwambia "Pole sana dada Ney, unaonekana una maumivu sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BADO NAKUPENDA SANA:02 kinachonifurahisha zaidi, nimejitahidi kufuta namba yako katika simu yangu wakati inaishi kichwani na ndani ya moyo wangu, kiasi kwamba hata nikikurupushwa usiku naitaja...
0 Reactions
2 Replies
731 Views
SEHEMU YA MWISHO YA SEASON HII YA KWANZA . Kwakua mimi nilikua najua jinsi waislamu wanavyozika, wao niliwazika kwa kutanguliza na dua. Booker na Philipo niliwazika na kuwaombea walazwe...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Mwangaluka! Ningependa kujua yale mashindano kipindi flani yalifanywa na Kituo cha EATV kupitia kipindi chao cha Uswazi nadhani host akiwa bado ni Musa Hussein hivi bado yanaendelea!? Yalikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu. Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa muziki kama Afromusic hasa za Nigeria,South,Ghana na East africa. Pia christian songs,Hiphop za bongo na mbele kias flani,pia Pop na...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Tanzania yapata Mwanamuziki Mpya. Hayo yametokea hivi karibuni baada ya Mwanamziki huyo Paw Sixs wa miondoko ya Pop kuachilia kibao chake cha "Ooh" Sasa unaweza kusikiliza kibao chake
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Okaaaay, I see you Meg.
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Wako kwa stage wanaimba wimbo wa tunatoana roho,enzi hizo kabla mambo team hayajaanza,best moment ever!
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau,habari za mida hii. Kama heading inavyosomeka, mwenye kuifahamu application ya kupakua nyimbo yoyote kwenye simu anijuze. Mwanzoni nilikua natumia maas4tube kupakua nyimbo yoyote,kwa Sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza jamani hii kitu niliiona muda sana natamani nirudie tena kuiona. Naomba mwenye nayo anisaidie au mnijulishe wapi naweza kuipakua. Nipo Dsm Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi. Huyu mwamba kutoka Umakondeni kaachia ngoma mpya kwa jina la Kushoto Kulia. Lakini baada ya ngoma hiyo kuisikiliza, nimesikitika kidogo. Ni ngoma nyepesi sana aisee. Ni bora tu...
7 Reactions
37 Replies
7K Views
SEHEMU YA TATU THE GIRLS IN ISLAND 03 Kwakua alitambua kuwa malikia huyo hutumia muda mwingi katika hilo tendo. Walipoingia tu uwanjani, aliyatumia masaa matatu kumchezea malikia huyo...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
SEHEMU YA PILI THE GIRLS IN ISLAND 02 Hawakujua waanzie wapi na watokee wapi kutokana na umbali mrefu waliotembea mpaka kufika pale. Hata hivyo hawakufika mbali, mwenzao alidondoka na...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom