Hadithi; The girls in island 02

chiqutitta

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,160
3,124
SEHEMU YA PILI
THE GIRLS IN ISLAND 02







Hawakujua waanzie wapi na watokee wapi kutokana na umbali mrefu waliotembea mpaka kufika pale. Hata hivyo hawakufika mbali, mwenzao alidondoka na damu zikaanza kumtoka poani na mdomoni. Walimuacha akikata roho na wao wakaendelea na safari ili waokoe maisha yao. Hakuna aliyekuwa na wazo la kuchukua mali yoyote zaidi ya kuiokoa roho yake kkatiika kisiwa hicho.

Kufumba na kufumbua, wakajikuta wamekanyaga mtego wa nyavu uliowapeleka mpaka juu kabisa ya mti unaofanana na mstimu.

SONGA NAYO…………..



Walipokua juu ya miti hiyo mirefu, chini waliona kundi kubwa la wasichana tupu wakiwa wamekusanyika na kuwatolea macho.

Yule malikia wao alifika pale na kutoa amri watu hao washushwe. Waliposhushwa, aliwaamuru wasichana walionekana wakakamavu kama wanaume na kuwaambia kila mmoja wao ambebe mvulana mmoja na kurudi nnao kwenye mji wao.



Kwakua wanasayansi hao hawakuwa na nguvu, hawakua na ziada zaidi ya kusubiri tu kitakachotokea huko mbele.

Wale wasichana waliwabeba na kurudi nao kwenye mji wao na kuwapeleka kwenye kijumba kidogo cha mianzi na kuwafungia humo.



Masaa yalipita wakiwa humo. Huku njaa zikiwa zinawauma sana, waliipata joto ya jiwe kutokana na ukali wa jua kwa sababu mahala walipoweka palikua wazi sana.

Wakati wakiwa wanateseka, kwa mbali walimuona msichana mmoja akiwa amebeba vyakula na kuwaletea.

Walipenyezewa katika matundu ya ile mianzi na kila mmoja akachukua sahani yake. Walipofunua, waliona chakula kisichoeleweka na minofu ya nyama ikiwa pembeni. Walipoangalia vizuri ile nyama, haikufanana kabisa na nyama ya ng`ombe, Mac Domald aliamua kumsimamisha yule msichana aliyewaletea kile chakula na kuamua kumuuliza kuwa ile nyama ilikua ya mnyama gani.



“hizo ni nyama za wenzenu mliokuja nao… kuleni mnenepe ili tupate nyama nyingi.” Alijibu yule msichana aliyekuwa mzuri wa sura na umbo na kutabasamu.Mac Donald na wenzake walibaki wameduwaa huku hatima ya maisha yao wakiiona ikiwa mbele yao.



Yule dada aliwatazama na kuondoka zake.

“kila mtu atubu dhambi zake kwa Mungu. Maana kutoka katika mikono ya hawa watu ni ngumu sana.” Aliongea Mac Donald na kuwatazama wenzake ambao nao hawakua na la kuongea. Hakuna aliyekuwa na matumaini ya kutoka katika kisiwa hicho akiwa salama.

Masaa yalisogea mpaka kufikia kuzama kwa jua. Hakuna hata mmoja aliyediriki kula kile chakula japokuwa alikua ana njaa sana. Kila mtu alikubali kufa njaa kuliko kula nyama ya binaadamu mwenzake.



Kiza kilipoingia, walitolewa na kupelekwa kwenye uwanja mkubwa ambapo walikuta kumepambwa na moto kila mahali uliwashwa kwa ajili ya kuleta mwanga eneo hilo.

Walipelekwa mbele wale wana sayansi na kukalishwa karibu kabisa na kiti cha malikia wao.

Wakati wapo pale mbele, walianza kuona watu wakiinama na kuongea maneno ambayo hawakuyaelewa. Muda si mrefu, walianza kumuona chatu mkubwa akikatiza na kwenda kwenye kile kiti na kukaa. Hapo hapo akabadilika na kuwa yule malikia tena na kujibu na yeye kwa maneno ya ajabu na kusababisha watu wote wanayamaze.



“mnajisikiaje kuwaona wageni katika kisiwa chetu.. wana faa kwa ajili ya KADASH?” aliuliza malikia huku akimtaja jini mkuu anayekiongoza kisiwa hicho.



“wanafaa sana.” Walijibu wasichana waliokuwa pale kwenye ule mkusanyiko mkubwa uliokuwa na jinsia moja tu.



“kwizu babelle choruuuuuuuuu”



aliongea Malikia na wote waliokuwa pale wakainama chini na kumuachia malikia peke yake ambaye alinyanyuka kwenye kiti cha ken a kuanza kuongea maneno ambayo alikua anayajua yeye mwenyewe na muda sio mrefu, upepo mkali ukaanza kuvuma eneo hilo.



Mac Donald na wenzake walipoangalia juu, walishangaa kuona anga linazunguka sana huku mawingu mazito yaashiriayo mvua kubwa kunyesha yakiwa yanazunguka pia. Wakati wakiwa wanashangaa, walipigwa na radi kali ilyosababisha mpaka Ardhi ya pale kutetemeka. Mac Donald alifumba macho kutokana na ukali wa radii le.

Alipofumbua macho, alijikuta amebaki peke yake huku wenzake wakiwa wamelala pembeni huku miili yao ikiwa imechomwa vibaya na radi.

Alitoa macho ya mshangao huku hisia za uwoga zikiwa zimemtanda kila sehemu ya mwoili wake.

Sehemu yote hiyo ilitulia kama vile hakukua na watu. Mac Donald aligeuka nyuma na kuwakuta wasichana hao waliokuwa wanashangaa kumuona Mac Donad akiwa hai.



Haikuwahi kutokea hata siku moja. Hawakujua kwanini Kadash aliamua kumuacha Mac Donald.

Malikia alimsogelea Mac Donald na kumshika mashavu. Alimgeuza kila mahali huku akiendelea kumkagua kila mahali.



“mpelekeni kwenye chumba cha mapumziko.” Aliamuru malikia na walinzi wake wakatii na kumpeleka katika katika hicho chumba cha mapumziko ambacho kilikua ndani ya kasri la malikia huyo wa kisiwa hicho kinachoishi wasichana peke yake.



Mac Donald alitibiwa huku akisikilizwa na kupatiwa chakula alichokuwa akikihitaji huku akizibagua nyama kwakua alikua hana imani nazo tena.



Baada ya wiki moja, Mac Donald alipona kabisa na kuwa na afya njema. Malikia alifurahi sana na kumuhamisha Mac Donald kwenye chumba chake. Mguso wa jinsia mbili tofauti zilikuwa burudani tosha kwa malikia huyo wa kisiwa hicho.

Muda wote alitamani kufanya mapenzi na mwanasayansi huyo ambaye kwa sasa alimtumia kama mtumwa wa ngono.



Mac aliifanya kazi hiyo kwa Bidii, lakini hata siku moja hakuwahi kumfikisha msichana huyo kileleni. Mara zote alikua anachoka huku malikia akiwa ndio kwanza anaonyesha kuwa ndio anaanza kupata hiyo ladha.

Maisha hayo yalimchosha Mac Donald, alitamani kutoka katika mikono ya watu hao, lakini ilishindikana kutokana na ulinzi mkali wa kisiwa hicho.



Usiku wa siku hiyo alijifanya anaumwa. Hivyo usiku mzima ukapita bila kufanya mapenzi na malikia huyo. Usiku kucha malikia alimuona akihangaika kwa jinsi alinyozoea kulala nae huku mwili wake ukipata joto la kiume.



Wki yote hiyo alijifanya kazidiwa na kulala peke yake. Kitendo hicho kilimkasirisha sana malikia na kuamua kumpa onyo kuwa kama usiku wa siku hiyo hawatafanya mapenzi, basi hatamuacha akiwa hai.



Vitisho hivyo vilimfanya Mack Donald kulegeza kamba na kukubali kulala kwenye kitada cha malikia.

Safdari hii hakuanza kufanya mapenzi tu kama alivyokuwa akifanya siku zote, safari hii alijiapiza moyoni kufikia kiwango cha kumchosha malikia huyo na kumfanya asitamani kufanya tena kesho yake kutokana na uchovu.

Aliandaa zana zake za kivita mapema uwanjani tayari kwa mpambano huo ambao alikua anaamini ataweza kumkomesha malikia huyo aliyekuwa na hamu ya kufanya mapenzi kila wakati.



Baada ya kuhakikisha kuwa amepata chakula cha kutosha, pia alichukua chakula kingine cha ziada na maji ya kutosha kama wese la akiba pindi mafuta yakipungua katika safari hiyo ya kumpeleka malikia kilimani kwa mara ya kwanza.



Kwakua alitambua kuwa malikia huyo hutumia muda mwingi katika hilo tendo. Walipoingia tu uwanjani, aliyatumia masaa matatu kumchezea malikia huyo ambaye alikua akihangaika huku miguno ya mahaba ikipamba tukio hilo.

Zoezi lake lilionekana kuanza kufanikiwa baada ya kumuona malikia akiwa amebadilisha mihenmo yake na kuhema bila mpangilio.

Kabla hajaanza kuingia dimbani, alijikuta amevutwa uwanjani huku muhsika mkuu akiwa malikia mwenyewe. Nusu saa baadae, alishangaa kuona ameng`ang`aniwa kwa nguvu na baadae ukulele mkali ukasikika mpaka nje ya kisiwa.
 
Back
Top Bottom