Asante sana kaka, Umeongea point ya maana sana,Naona wengi hapa wanakuponda ila pambana sana na ujitume kwa bidii hakika utatoboa.
N:B Jaribu kuchange katika genre/Miondoko tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mziki wenyewe kuliko kung'ang'ania aina moja ya mziki unaoufanya.
Ni hayo tu ndugu.
Kumlaumu producer siyo fair kwakua kazi mlifanya wote hivyo wakati anakosea ni lazima uliona. Wote wewe na yeye mmefanya kitu kilicho ndani ya uwezo wenu.Asante kwa Ushauri wako japokua nasikitika sana. Naweza kusema kuwa Sikupata Producer mwenye ujuzi wa kutengeneza wimbo huu,
Lawama narudisha kwa Producer aliyefanya ngoma hii sio Mimi,
Kuhusu jina naweza kusema lakawaida tu na linatamkika kwa urahisi kama "Pasiksi"
Nakiri hayo, Ila jina limeshakua recognized kwenye Mamlaka za Copyright pamoja na Search Engineers nyingi nashindwa kubadilisha.Kumlaumu producer siyo fair kwakua kazi mlifanya wote hivyo wakati anakosea ni lazima uliona. Wote wewe na yeye mmefanya kitu kilicho ndani ya uwezo wenu.
Niamini mimi. Badili jina.