BADO NAKUPENDA SANA

BADO NAKUPENDA SANA

Joined
Nov 25, 2019
Posts
9
Reaction score
2
BADO NAKUPENDA SANA :04
alishawahi kufanywa mjinga sana na kijana aliyekutana naye kabla ya Hansy, alisema "kabla sijaingia rasmi katika mahusiano na Hansy, nilikuwa na mpenzi niliyehisi atanipenda sana, alikuwa ananifanyia vituko vya sana nami nikawa namlipiza eti kwakuingia katika mahusiano na mtu mwingine lakini kilichotokea baada ya wiki narudi kwake na huu ndiyo ulikuwa mchezo wangu na kijana yule kwani alikuwa anajisikia raha kunifanyia vituko. Jirani na Nyumbani sasa alipanga kijana huyo Hansy, ambaye sasa mara kwa mara tulikuwa tunaonana kwasababu tulikuwa majirani, nakumbuka siku hiyo nilikuwa nimezinguana tena na mpenzi wangu, nilitoka katika mizunguko yangu nikawa na rudi Nyumbani mitaa hii hii, siunajua naishi huku eeeeh? " Ney alimuuliza yule binti tena akiwa katikati ya safari "Ndiyo nafahamu dada na Nyumbani si ndiyo nilipokukuta siku ile. " "Kweli unapafahamu, kisha Ney aliendelea na sasa kabla sijafika Nyumbani nilimuona Hansy nje ya nyumba yao amekaa akiwa na mawazo sana, nilimsogelea taratibu na kumgusa kitu kilichofanya ashtuke sana nakusema "samahani dada yangu" Nami nilitabasamu nakusema "usijali kaka yangu, naitwa Ney naishi nyumba ya tano kutoka hapa. " "Nakuona sana mitaa hii dada yangu, karibu mimi naitwa Hansy" "Nashukuru sana, lakini mbona unaonekana unamawazo sana, tatizo nini? " Hansy alivuta pumzi yakutosha akionekana amechoka sana na kusema "samahani Ney, sijisikii kuongea nina mawazo mengi sana dada yangu labda siku nyingine" Je nini kitaendeleaaaaa.. Weka tu notification my dear, story zangu fupifupi 3000 na kitabu elfu kumi ambavyo ni CHOZI LA MWANAMKE NA MAISHA BILA WAZAZI 0754520438 Karibuni sanaaa[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Screenshot_20191129-151914.jpeg
 
Back
Top Bottom