Diamond atoa wimbo 'Sound' aliomshirikisha msanii Teni kutoka Nigeria

Haya mbowe rochido rochido
Haya@Numbisa rochido rochido
Haya anko magu rochido rochido
Haya faiza foxy rochido rochido

Duh huyu kijana ni noma sana jaman
Ukimchukia huyu unaweza jikuta unakonda tu bure ni bora tu tuunge juhudi toka team yoooo mpaka usafini

Mimi nahisi hata alikiba ni shabiki wa diamond
 
Nimecheka sana diamond ft teni ... tunaelewana tu... mbona .. kimfano nisikiee burnboy ft the baddest 47 . .. nikitu ambacho haiwezekani. Duniani ... mda si mrefu tutasikiaa diamond ft rema. eti msanii mkubwa Africa... ili kuwa 2015 sio now ... ila ngoma kajitaidi....teni .. kafanya kweli dogo katoka kimziki 2018 ...
 
International video .. sio hizi za Kenny... bongo sijui tunafeli wapi nadhani wale waliokuwa wanamuona Kenny ndo muongozaji Bora wa video Africa now wanaangalia chini.. kiufupii bongo bado tupo nyuma sana ... kwakila kitu ... mr moe musa hongera kwakazi zuri... video hii inavigezo kupigwa . Trace Nigeria sound city mtv Africa nk....
 
Naomba nikuweke kwenye Top 10 ya Pumba zilizo andikwa 2019 umu JF...nakuweka nafasi ya 7 kama ni mdada ila kama ni MAn nakuweka nafasi ya 2
Nimecheka sana diamond ft teni ... tunaelewana tu... mbona .. kimfano nisikiee burnboy ft the baddest 47 . .. nikitu ambacho haiwezekani. Duniani ... mda si mrefu tutasikiaa diamond ft rema. eti msanii mkubwa Africa... ili kuwa 2015 sio now ... ila ngoma kajitaidi....teni .. kafanya kweli dogo katoka kimziki 2018 ...
 
Nimecheka sana diamond ft teni ... tunaelewana tu... mbona .. kimfano nisikiee burnboy ft the baddest 47 . .. nikitu ambacho haiwezekani. Duniani ... mda si mrefu tutasikiaa diamond ft rema. eti msanii mkubwa Africa... ili kuwa 2015 sio now ... ila ngoma kajitaidi....teni .. kafanya kweli dogo katoka kimziki 2018 ...
Teni kaua sana
 
International video .. sio hizi za Kenny... bongo sijui tunafeli wapi nadhani wale waliokuwa wanamuona Kenny ndo muongozaji Bora wa video Africa now wanaangalia chini.. kiufupii bongo bado tupo nyuma sana ... kwakila kitu ... mr moe musa hongera kwakazi zuri... video hii inavigezo kupigwa . Trace Nigeria sound city mtv Africa nk....
we ndezi kweli ..uliangalia video mwishoni ukaona director mwingine aliyeshiriki ?
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom