Agathadastorywriter
Member
- Nov 25, 2019
- 9
- 2
BADO NAKUPENDA SANA :03
unahitaji nini leo, maana mzigo mpya huo" Ney alijitahidi kujiongelesha lakini binti yule alimsogelea Ney nakumwambia "Pole sana dada Ney, unaonekana una maumivu sana kuhusu Hansy. " Alipofika hapa Ney alishangaa na kuuliza "ulikuwepo hapa? " "Nimesikia kila kitu dada yangu ukichokuwa ukikiongea ila binafsi naona huna sababu yakufanya hayo yote, muache aende ufanye maisha yako tena na unabiashara yako alafu unamlilia mwanaume, hizi sio nyakati za kulilia mwanaume, wanawake wamekuwa na akili sasa. " Jambo hili lilimfanya Ney acheke sana nakusema "wanawake mnajidanganya sana, kamwe hamuwezi kuwa na nafasi sawa na mwanaume labda tu nikuambie mdogo wangu, Hansy nampenda, yaani BADO NAMPENDA vibaya mno japo tumeachana lakini nina mapenzi nae ya dhati kwasababu alikuwa chaguo langu, moyo wangu uliridhia kila kitu chake wala sikuwa na kona kona, alafu sasa nimefanyiwa vibaya vingi sana lakini bado ninampenda mpaka nateseka, kaa mdogo wangu nikuhadithie japo kidogo ili uelewe mapenzi yalivyo mchezo wa ajabu. "Hapa Ney alibadilisha uso wake akawa anatabasamu tu na binti yule kupata hamu yakusikiliza kwa makini sana ndipo Ney na yeye alikaa vizuri nakuanza kusimulia kwanza kwakurahisha ili hadithi yake na Hansy iwe tamu na isiyo chosha kusikiliza, kwani wenye mapenzi yao wanasema usiwaambie mnapendana ila waache Wao wakiwaona tu waseme WANAPENDANA, hivyo Ney alijitahidi sana kuanza kumuelezea binti yule huyu mwanzo akicheka na kukiri wazi kwamba..........