Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 264
Kichwa cha habari chajieleza jamani hii kitu niliiona muda sana natamani nirudie tena kuiona. Naomba mwenye nayo anisaidie au mnijulishe wapi naweza kuipakua. Nipo Dsm
Asanteni.
Asanteni.