Application ya kupakua nyimbo kwenye simu

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,777
Reaction score
6,266
Wadau,habari za mida hii.
Kama heading inavyosomeka, mwenye kuifahamu application ya kupakua nyimbo yoyote kwenye simu anijuze.
Mwanzoni nilikua natumia maas4tube kupakua nyimbo yoyote,kwa Sasa baada ya kubadili kimeo,ile application siioni Tena kule play store.
Shukrani za dhati kwa kushiriki kusoma na kuchangia.
Ameeen.
 
Download AUDIOMACK hautajuta mkuu
 
Well,nafanyia kazi ushauri wwnu wadau,soon nitaleta mrejesho hapa hapa.
 
Back
Top Bottom