Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,200
Mwangaluka!
Ningependa kujua yale mashindano kipindi flani yalifanywa na Kituo cha EATV kupitia kipindi chao cha Uswazi nadhani host akiwa bado ni Musa Hussein hivi bado yanaendelea!?
Yalikuwa yanahusu rekodi, ubunifu na vumbuzi mbalimbali za Uswazi ambapo kulikuwa na Top 20 au Top 10 hivi.
Niliyapenda sana sababu yanaonyesha baadhi ya vipaji vinavyopatikana uswazini!. Pia naomba pewa link au site au jina Youtube napoweza rudia yaangalia ya kipindi kile, maana ni muda halafu nimesahau yalikuwa yanaitwaje jina lake, nakumbuka tu kuyacheki kupitia Uswazi.
PS: Mboto anajitahidi na kipindi chake AzamTv lakini naona hajafikia yale mashindano!