Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,227
Niseme kwamba hakuna watu wanaojua kuimba kama watu wa gospel. Mimi ni mpenzi sana wa music but nimekuja kujua gospels singers ni watu wanaimba sana.
Nitawatajia baadhi ya waambaji alafu muwafuatilie. Kuna mtu anaitwa Jaye Thomas ana nyimbo nyingi but for your glory ni hatari, kuna mtu anaitwa Dr. Tumi overflow ni habari nyingine, Elijah Oyelade, Joe Mattle, Jimmy Psalmist, Mog, Tasha Cobbs, Jekalyn Carr, Chris Shalom, Sonnie Badu, Osby Berry, Zach William hawa ni baadhi tu karibu.