BADO NAKUPENDA SANA

BADO NAKUPENDA SANA

Joined
Nov 25, 2019
Posts
9
Reaction score
2
BADO NAKUPENDA SANA:02
kinachonifurahisha zaidi, nimejitahidi kufuta namba yako katika simu yangu wakati inaishi kichwani na ndani ya moyo wangu, kiasi kwamba hata nikikurupushwa usiku naitaja tena bila ya kusitasita, haitoshi kila nilipokuwa nikiona umetupia picha katika mtandao wa kijamii Instagram nilijikuta nikitamani kukuchanachana lakini sikuweza nako pia nimekufungia mawasiliano sio kwamba unanichefua, hapana hujawahi nichefua nivile tu najitahidi kukukimbia nisikuone, lakini nikifunika macho yangu sura yako ya upole na ukarimu, na tabasamu lako la bashasha halikomi katika uso wangu, sijui hata nafanya nini, mapenzi niliyonayo kwako sio mapenzi madogo ni zaidi ya mapenzi, Hansy najuwa hata ukirudi kwangu huwezi nipenda kwasababu hukuwahi nipenda lakini nimekwama mwenzako, nimekwama mimi. " Neema alisikika akiyaongea maneno haya huku machozi yakimtoka akiwa ofisini kwake mitaa ya Sinza madukani, akiuza duka lake dogo dogo la nguo za mitumba, alilia hakujali chochote ila alishindwa zuia kabisa hisia zake, alipokuwa akiwaza hayo yote, mmoja kati ya wanunuzi wa nguo zake ambaye tayari alikwisha ingia mule ndani lakini bado Neema hakuona mtu aliendelea kulia huku akiendelea kuongea maneno mengi aliyojikuta anaongea anaumia na wakati mwingine anacheka lakini yote kwa yote machozi yalizidi kumiminika, ndiyo binti yule aliita "dada Ney, dada Ney. " Neema au kwa kifupi Ney alifuta machozi yake kwa haraka haraka nakuitika akitabasamu "Oooh mdogo wangu kumbe umefika jamani, vitabu vyangu 10000 karibuni tushikane mkono 0754520438 hadith nyingi zipo Instagram as, @agathadastorywriter
Screenshot_20191129-151914.jpeg
 
Back
Top Bottom