Kwa yeyote anaeweza kuniorodheshia nyimbo hizo za kingereza anaimba binti mmoja hivi sijui aitwa lliiwine.
Asee anaimbaga nyimbo zake zinasikilizwaga mara nyingi usiku mkiwa kwa kitandani...
Naongelea ngoma mpya ya msanii machachali wa bongo fleva Diamond Platnumz ...Baba lao
Binafsi naona hii ngoma sio nzuri kabisa nikiweka pembeni ushabiki
Sasa swali linakuja kwenu mnaoujia mziki...
Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.
Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.
Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
Kama mfuatiliaji wa muziki wa bongo kuna vitu tunakubaliana kuwa Kiba na Harnonize kwa nyakati tofauti wamenufaika sana na uwepo wa Dai.
Alikiba amekuwa mshindanishwa wa Diamond kwa muda mrefu...
MUZIKI ni biashara kubwa sana katika karne hii ya 21 ambapo tumeshuhudia vijana wadogo wakitajirika kwa namna ya ajabu. MUZIKI umefanikiwa kukamata nyanja mbali mbali za uchumi, kupitia biashara...
Mambo vipi wadau, Wale wapenzi wa Pub G Mobile season 10 imepamba moto. Vipi tunaonaje game msimu huu. Server ya Africa iko mbioni kuwekwa.
Niambie unapenda sana server gani, Sanhok, Erangel au...
Hii ni thread maalum kwa wapenzi wa filamu za kiswahili hasa za kitanzania. hapa utapata nafasi ya kujua muvi gani ya kiswahili imeingia sokoni, muvi gani inafanya vizurri.
kila siku utapata...
Hii ni uzi maalum kwa wapenzi wa movie za ki-Nigeria. Utapata updates za movie kali zenye story nzuri, movie za kichawi, mapenzi ngumi nk. ungana na sisi kwa burudani kali kila siku.
1. Thriller - Michael Jackson (MJ)
2. Year of the Gentleman - Ne -Yo
3. Blue print 3 - Jay Z
4. Uwe Macho - Rose Mhando
5 Bad - Michael Jackson (MJ)
Je ni album zipi 5 ambazo unaamini ni kali...
Wadau mambo Vipi?
Nawasalimu wote na Poleni kwa Pilika za hapa na pale za kuusaka utamu wa Ugali na maisha Ahueni. Imekua kitambo sana tangu niondoke hapa Jf (Kiukweli nilipakumbuka Jf).
Leo...
Ukiangalia katika semina zake huyu mtumishi hua kuna tunyimbo tuzuri sana anatuimba twa kipekee, kama ''KWA IMANI TUTASHINDA'' ..''OHH SAYUNI SAYUNI'' N.K
Kama kuna mwenye hutu tunyimbo tuzuri...
Naomba kujuzwa ghalama ya chumba cha kupanga 'self contained room'.
Kodi ya Frem ya biashara mtaa wenye mzunguko wa fedha.
Nataka nihamie huko ko nategemea ushirikiano wa mnaojua hayo maombi...
Hallo,
How is everyone in here?
I hope mko poa ndugu zangu watanzania.
Leo nafuraha sana, maana ndio kwa mara ya kwanza kushuhudia concert za wasanii wa ndani. I'm enjoying for sure!
Kama kuna...
Nikiangalia hizi show wanazotoa hapa Wasafi Tv kwenye Wasafi Festival nachoka kabisa. Wanachoweza wao ni kupiga makelele, kuwasumbua watu wanyanyue mikono juu na kuuza sura na makalio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.