Marhaba, marhaba.
Kama kichwa kilivyotambulishwa hapo juu.
Huyu kijana wa Kimakonde "Harmonize" naona anasumbuliwa na nadharia ya kuwa, kujitoa kwake Wasafi ni kama kuachana na muziki wa kale na...
Huu ni wimbo upo kwenye album ya Stanley enow track number 13 ambayo amemshirikisha kijana kutoka Tanzania na msanii mwingine anaitwa Ariel sheney.stanley enow ni msanii mkubwa kutoka nchini...
Anayejua page nzuri instagram za kuburudisha ashere namm atleast page 3 kali nje na ndani ya tz.mi napendelea
1.blessednjugush
2.shishiboyog
3.Liverpoolfc
Katika vipindi ambayo naviona vinazidi kuwa bora katika runinga ya cloudplus ni kipindi cha mtazamo. Nafurahia maudhui ya kipindi kwani yanaelimisha na kuhabarisha. Na haswa wanavyowaaliaka...
Nasema haya baada ya siku mbili hivi kutoka kwa ngoma kali sana za wasanii wachanga ama unaweza kuwaita wadogo, wasaniii wenye uwezo halisi wa kutengeneza muziki na mashairi yalioshiba. Wanaopenda...
Wakuu wa JF, nina swali na naomba niliwasilishe kwenu.
Kila wakati nikicheki majukwaa makubwa ya burudani husasani ya muziki huwa kuna ule moshi unapitapita sa nauliza uwa una maana gani?
"swali...
Zimekuwepo lawama nyingi sana dhidi ya maDJ wa redio kutopiga muziki wa dansi na kupendelea bongofleva. Sasa mimi nawaambia acheni kulalamika fanyieni kazi maoni yetu wapenzi wa muziki wa dansi...
*TAFSIRI LINGALA KWA KISWAHILI*
Banga makambo oh
Nga na bangi makambo
Bapekisi nga makasi
Nakeba bandeko
Ogopa matatizo oh
Mimi nimeogopa matatizo
Wamenikataza
Naepuka ndugu zangu
Noki natika...
Ni bahati mbaya sana watanzania hatupendi kukumbuka au kuenzi kazi za wasanii wetu.leo naonyesha mfano kwa kumkumbuka msanii aliyewahi kuwa maarufu JUMA NATURE haswa katika album yake ya UGALI...
Ni usiku wa manane, Diamond yupo chumbani kwake, alikuwa amechoka, usingizi haumpati kwa sababu anaifikiria safari yake atakayoianza kesho kuelekea kwenye matamasha yake nchini Marekani.
Kichwani...
Billboards Charts, wametoa list ya Album bora 100 za muongo wa 2010-2019. Na at the top ni Album ya Kanye Omary west My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010).
Disclaimer: Binafsi mimi mwenyewe...
Habari za saizi wakuuu
Kwa mtazamo wangu na kwanilivyo mskiza vizuri huyu kijana hamisi ndo mshindi wangu wa mwaka huu BSS.
Anajua kupiga guitar na kuimba anajua.
[emoji116][emoji116][emoji116]Video
Mwezi uliopita kabla ya tarehe 16 mmenitumia sms kwamba nikilipa kifurushi cha compact+ mapema kabla hakijaisha nitapata ofa ya Chanel za premium kwa muda wa siku 30 bure.
Kifurushi kilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.