Nani Director bora kati ya KENNY na HANSCANA

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,188
Reaction score
14,346
Hawa jamaa wote wana balaa zito kazi zao recently ni kama ifuatavyo.

Hanscana
-Harmonize (kushoto kulia & Uno)

Kenny
-Diamond (sound)
-Jux ( sugua)

Kwa kuangalia ubora wa kazi zao nani anastahili kuwa director bora Tanzania.
 
ma director wa msimu hakuna alie bora
.ila kuna zama , tuseme hizi ni zama za Kenny
 
Kenny yuko Bomba Zaidi kwani video zake zina creativity kubwa sana kuliko Hans

Hanscana yeye video zake zina sifiwa kung'aa tu ila ubunifu zero
 
Kuna wachezaji wakicheza Barca anaonekana bora ukimpeleka Leicester anaonekana wa kawaida
 
Kenny Anaonekana ni bora kwa sababu ya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya zoom production,jamaa wasafi/zoom wanavifaa bora sana vya kushoot video,kwa hapa tz hakuna wa kuwagusa.

Kenny amepikwa na hanscana Kwaio ni mwanafunzi wa hanscana,japo na yeye anakipaji ndio,lakini bado hanscana ni master wa Kenny na kinachombeba Kenny na kumuweka sawa au juu ya hanscana ni ubora wa vifaa.

Kwaio mwisho wa siku tukilinganisha ubora wa producer na si kampuni basi hapo hanscana anashinda ila tukizungumzia kampuni gani inatoa products kali kutokana na ubora wa vifaa basi zoom ikiongozwa na Kenny inashinda.
 
ubunifu ni gharam ko km mtu unaemshoot hana hiy pesa? kenny anafany yot hay bcs watej wake wana mudu gharama
Kenny yuko Bomba Zaidi kwani video zake zina creativity kubwa sana kuliko Hans

Hanscana yeye video zake zina sifiwa kung'aa tu ila ubunifu zero
 
upo sahih
Kenny Anaonekana ni bora kwa sababu ya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya zoom production,jamaa wasafi/zoom wanavifaa bora sana vya kushoot video,kwa hapa tz hakuna wa kuwagusa.

Kenny amepikwa na hanscana Kwaio ni mwanafunzi wa hanscana,japo na yeye anakipaji ndio,lakini bado hanscana ni master wa Kenny na kinachombeba Kenny na kumuweka sawa au juu ya hanscana ni ubora wa vifaa.

Kwaio mwisho wa siku tukilinganisha ubora wa producer na si kampuni basi hapo hanscana anashinda ila tukizungumzia kampuni gani inatoa products kali kutokana na ubora wa vifaa basi zoom ikiongozwa na Kenny inashinda.
 
Watu huwa mnakosa mada za kujadili kabisa, hivi unataka kwenda kurecord?
 
Back
Top Bottom