Tigo Fiesta mbona haitikisi mitandaoni leo au imefunikwa na sherehe za 9 Desemba?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,598
2,000
Oya wazee JF, mmesusia tamasha la Tigo Fiesta!
Sioni mjadala kuhusu show ya jana, niko hapa kazini namuuliza workmate wangu kama show ilifanyika au la, amenijibu kuwa show ilifanyika tena kwa shamra nyingi. Nikiingia FB kimya, JF kimyaaa YouTube nabahatika kuona clips.

Vipi mjadala wa Fiesta umefunikwa na sherehe ya Jamhuri ya leo 9 Desemba?
 
kamba0719

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
524
1,000
umbe1.PNG

umbe2.PNG

umbe3.PNG

umbe4.PNG

Nanndy ana panda hapo na Nyimbo yake ya aibu.
Kwa kifupi wamefanikiwa kujaza PITCH ya uwanja na si UWANJA mzima.
 
Attachments

  • File size
    7.4 MB
    Views
    0

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,536
2,000
Nimefuatilia clips youtube, kwa kweli uchezaji wa laivu music uliondoa kabisa testi, wimbo unapigwa remix kabisa hata huinjoi. Laivu music una maeneo yake ktk kumbi a starehe ila sio matamasha kama haya.
Weka playback watu wapate mziki waliousikia redioni na mitandaoni.
 
Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
7,119
2,000
Oya wazee JF, mmesusia tamasha la Tigo Fiesta!
Sioni mjadala kuhusu show ya jana, niko hapa kazini namuuliza workmate wangu kama show ilifanyika au la, amenijibu kuwa show ilifanyika tena kwa shamra nyingi. Nikiingia FB kimya, JF kimyaaa YouTube nabahatika kuona clips.

Vipi mjadala wa Fiesta umefunikwa na sherehe ya Jamhuri ya leo 9 Desemba?
Watu wameipotezea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom