Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,210
- 5,186
Aisee, huyu bidada sijui ni ushamba wa kuona wezere OG ama nini! Night club hakuna asiyejua yanayofanyika huko. Lakini kuwarekodi hao waafrika wenzetu kisha kuwaanika kweny insta stori yake sio poa.
Alichoniboa mbona yeye hajavua tumuone wezere fake lake?
Cardi B umezingua sana.