Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Tafadhali wakuu anayejua wimbo mwingine mzuri wa king monada aweke hapa....Malwede nimeupenda...
Sawa mkuu nilikuwa nahitaji mzuri(si yote mizuri)...... Labda mtu kaukubali mzuri aniambie niupakue...Google /Youtube kwenye smartphone unadhani ina kazi gani mkuu?
kila kitu kipo muleSawa mkuu nilikuwa nahitaji mzuri(si yote mizuri)...... Labda mtu kaukubali mzuri aniambie niupakue...
Nitajuaje huu ni mzuri? Nisikilize yote...anayo mingi...kila kitu kipo mule