Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

1. ➡JUMA NATURE 2.➡ FEROOZ 3.➡BELLE 9 4➡ DULLY SYKES 5➡ ALIKIBA 6➡ G NAKO 7➡ JUX 8➡LADY JAY DEE 9➡STEVE RNB 10➡ BEN POL
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Najaribu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finaly, what I see jamaa bado wana long way to go. Kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old...
11 Reactions
267 Replies
30K Views
Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki. Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu. Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe. Hivi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wimbo maalumu kwa wapendanao. Mtag yoyote umpendae hapa. Wa kwangu nita mtag mwishoni kabisa mwa comments zote I Love You – Rayvanny Lyrics, Letra: Ilikuwa safari ndefu yenye mateso Machozi...
8 Reactions
178 Replies
20K Views
Kwa wale wote die hard fans wa Konde Boy,Konde Gang aka Jeshiiiii kwanza cheers.... Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya dunia ya bongo fleva haijashuhudia kichupa kikali cha kufungia...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Natafuta season inaitwa Constantine Naombeni msaada wenu website gani naeza download hii season
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Umeenda kwenye fiesta ya Sierra Leone now unasema show ilikuwa ya peke yako?
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za wikiendi wanaforum. Kwa wenzangu tunaopenda kwenye kurelax night club wikiendi.Naomba kufahamishwa nightclub zenye strippers ( Hottest sex dancing babies kwenye box). Please let me...
4 Reactions
65 Replies
16K Views
Msanii Alikiba amefanya tamasha lake la Alikiba Unforgettable Tour, ambalo ni sehemu ya kuazimisha miaka yake 17 kwenye muziki, na ameanza Tabora usiku wa kuamkia leo Desemba 1, 2019 kwenye uwanja...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kitendo cha kuchagua nyimbo za wasanii wachache kime ni boa sana. Acheni wawe huru kuchagua msanii yeyote na wimbo wowote.
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Nipende Kwa kusema Tu , kuwa huyu kijana ana kipaji cha pekee hasa kwenye utunzi wa nyimbo za kubembeleza ,... Katika series ya nyimbo alizotoa hvi karbuni , huu wimbo wa naogopa nimeuelewa, bonge...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
👆👆👆kama kichwa cha habari.. Help please.. 🙏
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Niseme kwamba hakuna watu wanaojua kuimba kama watu wa gospel. Mimi ni mpenzi sana wa music but nimekuja kujua gospels singers ni watu wanaimba sana. Nitawatajia baadhi ya waambaji alafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi dotto Imeli ayumo? kama umo humu ni pm mtu wa Mungu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwanini vyombo vingi vya habari vinadharau pale unapowahitaji. Unawaeza ukawaandikia email au Wasap au call zinafika lakini hawapokei wanasoma lakini hawajibu. Tatizo linakuwa wapi?
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Laizer atabak producer bora kwa sasa hapa Tanzania (kwangu)
6 Reactions
90 Replies
17K Views
BADO NAKUPENDA SANA :04 alishawahi kufanywa mjinga sana na kijana aliyekutana naye kabla ya Hansy, alisema "kabla sijaingia rasmi katika mahusiano na Hansy, nilikuwa na mpenzi niliyehisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BADO NAKUPENDA SANA :03 unahitaji nini leo, maana mzigo mpya huo" Ney alijitahidi kujiongelesha lakini binti yule alimsogelea Ney nakumwambia "Pole sana dada Ney, unaonekana una maumivu sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom