Fiesta Live: Baunsa wa uswahilini Dar aonesha mahaba yake kwa Trump

Burnaboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
1,070
1,437
Naangalia Fiesta Live on Clouds Plus. Wana matangazo live toka stadiu na interview za studio.

Kuna huyu mdau mdau wa clouds wa sanas kaamua kutupia "Trump is My President". Kwa kuchagua hiyo t-shirt kwenye live broadcast ni kionesha jinsi gani alivyo na upeo mdogo sana wa uelewa wa mambo kiasi kwamba hata uchambuzi wake sikuusikiliza!

Can u imagine, baunsa wa uswahilini Dar kafa kimahaba kwa Trump. So oblivious of common knowledge realities!!

20191208_213851.jpg
 
Tatzo angeandika jina la wa hapa angeambiwa akutwe central kama alivyofanyiwa Idriss
 
Ila matangazo yanakatika katika hali ya hewa si nzuri. Kwa hili la hali ya hewa chonde chonde tafadhali msiwaombee mabaya clouds. Wame invest sana kwenye maandalizi. Ushindani uwe kwenye quality ya show si kuombeana mabaya.
 
Huyu jamaa nilikuwaga namuona ona na benjamin wa mambo jambo na kwenye video baadhi zilizokuwa zinahusika na benja kwa namna moja ama nyingine.
 
Back
Top Bottom