Tigo Fiesta imepoa sana, kama hakuna kitu leo

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Wakuu hivi clouds media waliwakosea nini wananchi?
Leo tarehe 8 decemba ni siku ya tukio kubwa kiburudani hapa nchi ambalo huambatana na shamrashamra kama zote, kwa awamu hii hali ni tofauti kabisa

Hakuna zile pirikapirika kuanzia mitandao mpaka mtaani kote ni kimya, hakuna mtua anyesema kitu kuhusu Fiesta

Licha ya kiingilio cha buku tatu karibu sawa na bure lakini watanzania wamesusa

Ni kosa gani hawa clouds wamelifanya?
 
unawakilisha/unawasemea waTZ wangapi Mzee Baba?
 
Sumu haionjwi... Wakati si milele

Mzee baba fiesta inakuaga na balaa lake
hii kitu inaanziaga kwa mabodaboda kila kona ya jiji, awamu hii ni kimya

Tukio lipo Temeke lakini kumepoa sana, bora hata ndondo kapu ikiwa inapigwa pale viwanja vya bandari temeke nzima huwa imeamsha
 
umungu mtu nakutaka kuabudiwa umewaponza na kuwaharibia cv nzuri waloitengeneza kwa mda mrefu...
nawashauri wabadilike wasikariri zama
 
Wakuu hivi clouds media waliwakosea nini wananchi?
Leo tarehe 8 decemba ni siku ya tukio kubwa kiburudani hapa nchi ambalo huambatana na shamrashamra kama zote, kwa awamu hii hali ni tofauti kabisa

Hakuna zile pirikapirika kuanzia mitandao mpaka mtaani kote ni kimya, hakuna mtua anyesema kitu kuhusu Fiesta

Licha ya kiingilio cha buku tatu karibu sawa na bure lakini watanzania wamesusa

Ni kosa gani hawa clouds wamelifanya?
Wanakumbatia maovu na waovu
Muda wao umeisha
RIP Ruge
 
Ila waTanzania wana kauchawi flani hivi ka asili, hii ilikuwa leo, tena mida ya saa kumi. sasa wewe ulitaka uweje kwa mfano?
Screenshot_20191208-192224_Instagram.jpg
 
Wakuu hivi clouds media waliwakosea nini wananchi?
Leo tarehe 8 decemba ni siku ya tukio kubwa kiburudani hapa nchi ambalo huambatana na shamrashamra kama zote, kwa awamu hii hali ni tofauti kabisa

Hakuna zile pirikapirika kuanzia mitandao mpaka mtaani kote ni kimya, hakuna mtua anyesema kitu kuhusu Fiesta

Licha ya kiingilio cha buku tatu karibu sawa na bure lakini watanzania wamesusa

Ni kosa gani hawa clouds wamelifanya?
Hapana mkuu haijapoa sema tu ushapita hatua hiyo,Fiesta ni kwa vijana 15-20's ambao wapo na moto na wamejazana uwanja wa taifa hadi hawatoshi....Kama kitu sio fani yako hautaona amsha amsha.
 
Back
Top Bottom