Hi ngoma nimeikubali ile mbaya imewakutanisha wasanii wakali na kimetoka kitu kikali. Rayvanny kapiga corus nzuri as usual, Nyandu Tozzy katupia mistari kutu alafu akamaliza mtu mbaya Mr Blue. Ngoma Kali kuanzia audio mpaka video. Big up to them!
Kuna ngoma nyingine nayo Kali stamina ft barnaba inaitwa safina kaicheki alafu njoo unipe mrejesho.ambao hatujaiona tutakuimini vp, kwa nini usingeiweka hapa..ama na wewe unatumia tecno Kama mimi
We Dada Ester Bulaya mleta Uzi anatumia free basic kama mimiambao hatujaiona tutakuimini vp, kwa nini usingeiweka hapa..ama na wewe unatumia tecno Kama mimi