Wadau mko poa? sasa kuna blog moja inaitwa MIDDLE SIMBA kule U-tube, katika utoaji wake wa habari au uchambuzi mbali mbali huwa kuna wimbo mtamu wa english unapigwa kwa mbali kama background song. sasa naupenda but nimejaribu kutafuta namna ya kuujua unaitwaje na ni wa msanii gani nimefail. Kama kuna mtu anafuatilia blog ile naomba anijuze unaitwaje na ni wa nani ili niiburudishe zaidi nafsi yangu. Ahsanteni.