Fiesta mnafeli sana

Fiesta mnafeli sana

kaale

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
96
Reaction score
36
Kabla ya kukata tickets mnaonekana wa muhimu baada ya hapo mnakuwa maboya. Yaani huko kwenye entrance points tunafanywa kama wanyama, hakuna ubinadamu, ni kusukumwa tu na wapuuzi flani ambao mnawaita wakaguzi wa tickets wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Watu wananusurika kuuliwa kwa kupigwa na kusukumwa kama mang'ombe.
 
Yani kabisa MTU mzima na akili yako unaenda kwenye hicho kigodoro cha TMK
 
Huenda mnaotaka kuingia ni wengi sana ss utarembaje wakati kuna watu 200 nyuma yako na wao wanataka kuingia?!
Unawezaje kuingiza watu wote hao kwenye gate moja, huo sio ujinga? uwanja una mageti lukuki, kwanini yasitumike?
 
Unawezaje kuingiza watu wote hao kwenye gate moja, huo sio ujinga? uwanja una mageti lukuki, kwanini yasitumike?
Hapo ss uwaulize wao kwann wanatumia1.
 
unawezaje kuingiza watu wote hao kwenye gate moja???? huo sio ujinga!!! uwanja unamageti lukuki....kwanini yasitumike???
HAhahahaaa na wewe unaitwa humu 'mkuu'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom