kigongoi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 430 Reaction score 193 Dec 4, 2019 #1 Ndugu zangu mwenye movie pendwa hapo juu naomba aziweke humu chonde chonde
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,383 Reaction score 29,026 Dec 4, 2019 #2 Mpaka unaijua jina tayari unifahamu.huku habari ya mujini ni sumae tuu hayo ya move sio kipaumbele chetu kwa leo
Mpaka unaijua jina tayari unifahamu.huku habari ya mujini ni sumae tuu hayo ya move sio kipaumbele chetu kwa leo
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Dec 4, 2019 #3 Yaani unataka mwenye hiyo movie a-upload humu toka kipande cha kwanza hadi sita? Au masikio yangu yameona vibaya!
Yaani unataka mwenye hiyo movie a-upload humu toka kipande cha kwanza hadi sita? Au masikio yangu yameona vibaya!
kigongoi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 430 Reaction score 193 Dec 5, 2019 Thread starter #4 wa stendi said: Mpaka unaijua jina tayari unifahamu.huku habari ya mujini ni sumae tuu hayo ya move sio kipaumbele chetu kwa leo Click to expand... huyo unayemsema chagedema wamemchinjia baharini kabla ya kuanzisha msala mwingine
wa stendi said: Mpaka unaijua jina tayari unifahamu.huku habari ya mujini ni sumae tuu hayo ya move sio kipaumbele chetu kwa leo Click to expand... huyo unayemsema chagedema wamemchinjia baharini kabla ya kuanzisha msala mwingine