Na HumphreyMoris (AnonymousAfrica)
Msanii maarufu kwenye mtindo wa Pop kutoka nchini uingereza Edward Christopher Sheeran almaarufu kama Ed Sheeran ametoa video mpya inayozungumzia watu...
Naona kuna dalili ya Ali kiba kubadilika.Kwa sasa kaamua kuachia ngoma back to back,iwe ni ngoma zake au za kushirikishwa kitu ambacho hapo kabla kilikuwa kigumu.
Safari hii kaachia wimbo...
Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake.
Mijadala...
Nimefuatilia mchuano huu na nimebaini kwamba baadhi ya majaji wanakatisha tamaa vipaji vipya kwa kutoa lugha za kejeri.Mfano wa lugha hizo ni kama vile
1. We huwezi kabisa
2.We unapiga kelele...
Wakuu, uwezo wa Mbwana Samatta na Mpira anoucheza akiwa katika Club yake ya Genk, ni Tofauti na anavyocheza akiwa Taifa Starz (Hajitumi, anacheza ili mradi mpira uishe)
Hili litatugharimu sana...
Kilichowakuta wasanii wa Bongo movie ni fundisho kubwa kwa wenzao wote wanaopenda hiyo sanaa ili kufanikiwa kimaisha.
Wasanii wa Bongo movie walisahau kuwa watanzania wapo matabaka tofauti. Wapo...
Hili halina ubishi huyu jamaa anatalanta ya kipekee sana
Licha ya kuwa hana uwezo Wa kuona tangu kuzaliwa kwake (KIPOFU) Lakini anauwezo MKUBWA Wa kupiga vyombo vingi vya mziki
Sauti yake ni...
Wakuu habarini,
Kama siamini macho yangu: Hivi ni kweli ninayo yaona? Naona kama Clouds mvuto wote kwisha, na hata tamasha lao la Fiesta halina hisia tena.
Shida ni nini, au ni upinzani...
Ahlan wasahlan wanajamvi,
Wazima ninyi? Hopefully wote wazima.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Honestly speaking, Rayvanny ndiyo almasi pekee iliyobakia WCB, kivipi?
Twende...
Hawa E FM na E TV na tamasha lao na mziki mnene wamefeli vibaya. Hawapo live katika TV, uwanjani watu wachache sana. Hata wasanii wanao-perfom wamepooza, yani kwa ufupi wanatia huruma.
Kamwene!
Binafsi si mfuatiliaji wa visa na mikasa ya wanamuziki hasa `Bongo`.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia juu juu kuwepo kwa kinachosemekana kuwa 'beef' kati ya msanii Nasibu Abdul Juma...
Princess Beatrice was presumably all smiles when she hosted her engagement party at Chiltern Firehouse in London yesterday. The 31-year-old is expected to marry Edoardo Mapelli Mozzi, a...
Hivi karibuni nimeona kwenye baadhi ya vipindi vya Clouds vikirusha madongo na kumpiga majungu Diamond Platnumz.
Ushauri wangu: Clouds kama ngoma za Diamond hampigi kuna haja gani ya kumzungumzia...
Huyu mayor kwa sasa ana hali mbaya sana huku mzee adiyente anazidi kumwamini bi ayvi aguas
Emilia naye na rahul aka jaguar mambo ni moto
Daaah huyu jamaa alnado anatia huruma kichizi
Mayor...
Kupitia uvumi ulionea mitandaoni kuwa miss Tanzania Siti Abbas Mtemvu amejiuzulu kupitia Facebook si kweli wala hiyo account ya Facebook si yake.
Bado ni Miss Tanzania 2014.
( Poleni sana...
IMEANDIKWA NA : RICHARD MWAMBE
*********************************************************************************
Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho
Sehemu Ya Kwanza (1)
Maisha yanayotuzunguka yana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.