0782561354
Member
- Feb 23, 2019
- 7
- 11
Sehem:03
Haikua taarfa nzur kwa gaby kusikia kua hatoweza kutembea tena alihisi labda maisha yake ndo yameishia pale.Mama yake alimpa moyo kua pale sio mwisho wa maisha na mungu yupo ana imani ipo Sikh atapona na atatembea kama kawaida.Hans alijisikia vibaya na kujilaumu kwanin hakua makin wakat anaendesha gar
Baada ya wiki gaby aliruhusiwa kutoka hospital na Hans Alishughulikia kila kitu na alilipa bili zote za hospital na kuwarudisha nyumban mama gaby alimshukuru Hans kwa Kua mwema kwao kwan angekua mwingine angeshawakimbia.Haikua rahisi kwa gaby kuanza kuishi maisha ya kutembelea. Kiti ila alijitahid kuonyesha kua ana furaha mbele ya mama na mdogo wake ili wasiumie lakini moyon aliumia sana ila alikua na Iman ipo siku atapona
Hans hakuchoka kuja kumjulia hali gaby kila Siku na pia aliwaachia baadhi ya pesa za matumiz lakin siku hiyo alimuomba gaby watoke ili wakaongee gaby alikubal kwa kua alijua hans ni mtu mzur hivyo walitoka na kuelekea sehem ambayo imetulia na kuanza mazungumzo
Hans: hivi gaby pale kwenu mnaishi na mama yenu tuu baba yenu yupo wapi
Gaby: ndio tunaishi na mama tuu baba yetu alifarki mm nikiwa kidato cha pili
Hans: pole na umesoma.mpaka wapi
Gaby: kidato cha pili alivyofariki baba hakukua na mtu wa kunilpia ada hvyo niliacha shule
Hans: pole sana
Gaby: Asante na ww story yako
Hans: mm ni mtoto wa pili kwetu na tupo watatu nimesoma mpaka chuo na nimesomea mambo ya biashara na sasa hivi nina biashara zangu za magar na biashara nyingine
Gaby: hongera una stor nzur tofauti na yangu
Hans: hakuna bhana binadam hatufanan
Gaby: ni kweli
Mazungumzo yaliisha na gaby aliomba arudi nyumban mda umeenda sana hans alimrudisha gaby kwao na yeye alielekea kwenye shuguli zake wakati akiwa kwenye gar simu yake iliita alikua ni rafiki yake wa mda ambaye alikua nje kimasomo na ndo amerejea Tz alimuomba akamchukue Airport. Hans hakua na kipingamiz maana ni rafiki yake alimfata.
Uckose sehem ya nne kexho