Yote ni mipango ya Mungu sehemu ya pili

Yote ni mipango ya Mungu sehemu ya pili

0782561354

Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
7
Reaction score
11
Sehem:02
Haikua kitu rahisi kwa mama yake Gaby kukubal kua mtoto wake ndo amekua mlemavu wa kudumu.Maureen aliingia kwa daktar ili kujua nn kimetokea lakn daktar alimwambia kama alivyomjibu mama yake Maureen aliumia kusikia kua dada yake hatokua na uwezo wa kutembea tena.
Walitoka chumba cha daktar na kuelekea alipo gaby.Waliingia wakamkuta bado hajazinduka baada ya mda alizinduka na kumkuta mama yake pamoja mdogo pemben Gaby alimuita mama yake japo kwa shida sana maana alikua bado ana maumivu
Gaby:ma.....ma
Mama: gaby mwanangu umeamka pole mwanangu(huku machozi yakimtoka)
Gaby:ma...ma kimetokea mbona nipo hospital
Mama:Ni ajali tyuu ila...
Gaby: usilie mama mm nitapona na nitakua mzima tena usilie mama
Bi magret alishindwa kuvumilia maumivu ya kumuona bint yake vile.Hans aliingia kweny chumba alichokuepo gaby alimkuta gaby na mdogo wake
Hans: mambo gaby
Gaby😛owa
Hans:samahan gaby najua hya yote ni makosa yangu nilikua na mawazo wakat naendesha gar ndo nikajikuta nimekugonga na kukusababishia matatizo hyo uloyapata
Gaby:Matatizo!!!yapi
Maureen alimnyamazisha hans huku gaby alimkazia macho hans akitaka kujua nn kinaendelea gaby alitaka kuinuka kitandan ili ashuke chini lakini alishtuka kuona miguu haisogeza lakin haikusogea.Gaby aliuliza Maureen nini kimênitokea mbona miguu yangu haisogei Maureen alibaki kmya huku machoz yakimtoka gaby alimuulza tena lakin hakupata jibu hans alimjibu
Gaby pole daktar amesema hutoweza kutembea tena. Gaby hakuamini alichokisikia alipiga kelele ambazo zilimshtua mama yake na madaktar ambao walienda ili kujua nn kinaendelea ilidi wamchome sindano ili kumtuliza
Usikose sehem inayofata like
 
"Equation x, oky ucjal mdau wang ipo sehem ya tatu nmeiandaa
Una kipaji mkuu,toa chapisho
[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom