Chiqa
Member
- Jul 19, 2017
- 80
- 172
Habari zenu ndugu zangu, nimetokea kupenda song moja la msanii wa kike hapa Tanzania ila most of the time ukiwa unapigwa redioni hua naambulia maneno machache sana, ambae anaweza kuufahamu si mbaya kama akiniandikia jina la song hiyo ili niudownload chap.. some of the lyrics hizi hapa
"Dhuruba za mapenzi zisituvunje moyo.......... "
"weweeee... we ndo tulizo la moyo wangu..."
" wewe weweee.. umezaliwa kwa ajili yangu"
Napenda sana good music kwa wale ambao tunashea same interest watanielewa.. so please wandugu, msaada kama hamto jali