LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,133
- 11,124
Youtube 2019 DRC ,video zilizo ongoza kutizamwa.
diamond akili nyingi sanaYoutube 2019 DRC ,video zilizo ongoza kutizamwa.View attachment 1310878
😂 😂 😂 😂Kiba ule wimbo wake 'usinisemee sababu napenda kula' alifikisha views Mil 100 ndani ya wiki 3 ila sababu hapendi show off akawaambia Youtube wapunguze views
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ile tour yake ya Unforgetable iliishia wapi ambayo alianzia Tabora?...teh teh ...tapata taabu sanaKiba hapendi sifa tu .
Mshumaa inapigwa sana casino za USA sema tu hatangazi
Iko Chamwino sasa hivi bila shaka.Hivi ile tour yake ya Unforgetable iliishia wapi ambayo alianzia Tabora?...teh teh ...tapata taabu sana
Duuh we jamaa unajua kusema kinyumeKiba ule wimbo wake 'usinisemee sababu napenda kula' alifikisha views Mil 100 ndani ya wiki 3 ila sababu hapendi show off akawaambia Youtube wapunguze views
Sent using Jamii Forums mobile app