Ushauri wa bure kwa Yanga watakapocheza simba

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,644
Reaction score
3,856
Huu ni ushauri wa bure tu kwa wachezaji wa yanga watakapocheza na simba kesho. Najua kabisa yanga wataingia kwa kuwachezea sana rafu wachezajia wa simba ili wawaogopeshe. Sasa hii itawagharimu sana wachezaji wa yanga kwani muamuzi wa mchezo huu ni huyu mwana mama asiyejua kumkanya mtu kwa mdomo zaidi ya kadi. Chonde chonde yanga. Msiingie na strategy ya kucheza rafu mtapewa kadi za njano na nyekundu na hatimae mtafungwa nyingi. Yangu ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza tu hapa yanga wataingia na strategy gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom