Tukifuata vigezo vya ubora, kuna wanamziki hawawezi shinda tuzo

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Kama vigezo hivi vigizingatiwa kuna wana mziki watakosa tuzo kabisa.
1. Ujumbe bora
2. Maadili mema
3. Mpangilio wa mashairi
4. Sauti kwenye ufunguo (key) wa mziki
5. Mpangilio wa ala za mziki na mdundo
6. Kutawala jukwaa (live performance)
7. Uwezo wa kubadili staili ya mziki na ubora kubaki pale pale.

Vigezo hivi vikizingatiwa kuna wanamziki wajanja wajanja watakosa tuzo hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tajirijasiri,
Tatizo sio wasanii tatizo game imebadilika ndomaana sasa wasanii walewale waliokuwa wanatengeneza mziki wa kuishi hawafanyi hivyo sasa hiv.
 
Mziki Ni Burudan Then Ujumbe Ni Mengineyo, Ndo Maana Unaeza Sikiliza Bolingo Za Kongo/nachi Za Wahindi Ila Unapata Burudan
 
Back
Top Bottom