Tamthilia ya Waris ni nzuri sana

Tamthilia ya Waris ni nzuri sana

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
18,416
Reaction score
30,738
Wahindi hapa wamefanya utunzi mzuri.
Nilishawishiwa kuitazama na member wa humu.

Mdada Yna.
Kuna mwingine anayeitazama?
Mara nyingi huwa nakosa nafasi ya kuitazama, kama kuna wafuatiliaji naomba muwe mnatujuza kinachoendelea.
 
Unafatilia na bado unataka wakujuze mkuu[emoji51][emoji51]
Huwa naikosa sana mkuu.
Inatokea muda inapoonyeshwa siko room.
Majukumu yananilazimu kuchelewa kurudi.

Leo nimeibahatisha ila jana sikuweza. Na ijumaa pia sikuweza.
 
Wahindi hapa wamefanya utunzi mzuri.
Nilishawishiwa kuitazama na member wa humu.

Mdada Yna.
Kuna mwingine anayeitazama?
Mara nyingi huwa nakosa nafasi ya kuitazama, kama kuna wafuatiliaji naomba muwe mnatujuza kinachoendelea.
Jumamosi marudiano ya week nzima
 
ni nzuri kiaina, sema uong mwingj, ingekua ni wazungu ungeona manu anakua kwa sura ileile, lakini kwenye waaris hakui
 
Series niliyowahi kupenda ni Jamai Raja tu. Tena niliipenda ajili ya wale wadada wa Azam wanao Tafsiri. Wanasauti tamu mno
 
Back
Top Bottom