Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

January 18 Happy birthday Pep Guardiola mtaalamu wa soka . Happy birthday David Batista. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarin wakuu.. baada Ya kusikiliza wimbo mpYa wa stamina-asiwaze nikasema kweli muda ndio kila kitu Refer miaka Ya nyuma "stamina" ashawai chana mistat hii katka moja Ya nyimbo zake "Ndoa ngum na...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Hii dogo kaua humu. ==== Tanzanian singer; Killy has now dropped Amenikaa; his first banger of the year featuring Nyanda of Brick and Lace and Singah from Nigeria. On this groovy love song...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KWA NINI UMENIZAA? Na, Robert Heriel. Taikon wa Fasihi. " Mama! maama! maaa,,." Aliita kwa sauti ya kukwaruza huku akimtingisha Mama yake aliyekuwa amelala. Mama aliamka kwa uchovu akamtazama...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
RIWAYA: UKURASA WA 56 MTUNZI: FRANK MASAI MAWASILIANO: 0717738973 SEHEMU YA 2. KOREA KASKAZINI Baada ya umeme kukatika ndani, General Pyong akaanza kuhaha huku na huko asijue anataka kufanya...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Mada yahusika,mwenye link itakayoniwezesha kudownload full movie tajwa hapo juu naomba aiweke hapa Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys, yule mfalme wa Bongo Fleva anayejulikana kama The king Him self Ally Salehe Kiba ametowa goma lake jipya linalokwenda kwa jina la Mshumaa sio siri ngoma ni ya moto sana haichoshi kusikiliza...
21 Reactions
145 Replies
20K Views
Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo But some of them have an interest, Bolingo 1.Nzele- Madilu 2.Bandeko- Madulu 3.Ton Ton -Madilu 4.Sydiegi-Madilu 5.Associe - Fally Pupa...
7 Reactions
50 Replies
9K Views
Mimi ni mpenzi sana wa movie, hasa za action na animation, siku za hivi karibuni nimejikuta nikipenda kuangalia makosa yanayofanywa na kuachwa bila kuondolewa wakati wa kufanya editing, sasa sijui...
1 Reactions
1 Replies
974 Views
Heshima yenu wakuu. Katika pilika pilika na huu ugumu wa maisha nimejikuta nauimba huu wimbo baadhi tu ya maneno. ......HATA UKULA UGALI NA CHUMVI Ooooh! SHUKURU MUNGU AMINATA USIFE...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Nitaenda Marekani Kupandikiza Mtoto Kwa Njia ya IVF - na ikitokea kawaida pia ntafurahia Godsplan vyeti vyangu vya uzazi viko salama katika uzazi na Mayai tatizo ni...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Hii ni kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram. MY TAKE: Huyu jamaa kwa sasa hivi wamuache asifananishwe na mtu mwingine kabisa. Pia, Watanzania tuungane kumpa support ya kutosha maana...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Washakji wametoa nyimbo mpya wana ladha ya miaka ya tisini ile ile yaani hamna kitu hapa kwakweli game imebadirika endeleeni kulea familia zenu tu huko mziki wapisheni kidogo vijana wafanye Sio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefanya mziki kwa muda sasa na niko vizuri lakini kila nikijitahidi kutoboa mambo yakuwa magumu , nimejaribu kwenda kwa waganga mbalimbali lakini hali imezidi kua ngumu masharti ni magumu sana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
...As all around, the normal hustle and bustle of the Norfolk house was stilled while staff busied themselves far from where this extraordinary Royal Family drama was set to play out: the Queen's...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Eddie Murphy Smiles In Photo As He Holds Six-Month-Old Granddaughter Evie Miles Mitchell is Murphy’s 27-year-old son born in 1992 with his ex-wife Nicole Murphy and is one of 10 siblings...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Aaah unaposkia neno ndoa(Ndoa), ujue noma Kabla kuongea chochote naomba kwanza kusonya(Msschew...) Sijali nishauri nani aisee ok twende Aliyenifundisha mapenzi Hakuniambia kuhusu kuoa...
10 Reactions
103 Replies
21K Views
Habari wakuu!! Ni movie ya kitambo mno, na hata jina silikumbuki. Ni ya vijana fulani ambao wazee wao walikuwa wanajeshi, ikatokea mission wazee wote wakatekwa. Serikali ya nchi yao ikawa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Nifanyaje? Sent using Jamii Forums mobile app kunywa
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Salaam. Moja kwa moja kwenye mada:- ... Pale mziki unapokukolea kisawasawa na kujisikia furaha ama huzuni iliyopitiliza... Unafurahia bila kushurutishwa... Unahuzunika bila kulazimishwa...
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Back
Top Bottom