Nkiwa kama moja ya wapenzi wakubwa wa kipindi cha XXL ya Clouds nlimsikia B Dozen akisema Nandy ni msanii aliyeongoza album yake ya the African Princess kuwa streamed Boomplay, kitu ambacho ni...
Wanajamii wenzangu,
Naomba mnisaidie kuutambua wimbo, siujui jina but inadaiwa ameimba Mwafrika, sijui nchi gani hapa Afrika but Wahindi wameuiga kwenye movie inaitwa Gupt (wimbo unaitwa jina la...
Tukiwa tunaelekea kumaliza muongo mmoja, haya ndiyo maoni yangu kuhusu wasanii bora zaidi wa muziki katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
1. Diamond Platnumz
There is no competition to the...
Tukiwa tumebakiwa na siku 21 kufunga mwaka huu. Wadau wa sector ya burudani tupeane play least zetu za mwaka huu unaoisha.
Zangu:[emoji116]
1. Yope rmx - Inoss B ft Diamond
2.No guidance - Chris...
Alafu mtu bado analeta ubishi na ushabiki usio na maana!
Jamani Tukubali tu kwamba Diamond kwa sasa ni level nyingine. Wengine nyie endeleeni na shows za huko matombo na.k
Sent using Jamii...
Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani.
Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi...
Mkali kuwahi kufanya hii kazi , nani haijui matawi ya juu,nani hajui gangster na ngoma hits kibao. Fanya unadrop mistari kwa heshima ya mshkaji. Jamaa ana punch kibao za hatari mfano "ukiniona...
Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa.
Movie ilitoka 2009. Binafsi...
Former world boxing champion Khanand his fiancee Faryal Makhdoom, 28, were joined by daughters Lamaisah, five, and Alanya, one, in the cute pic.
Wearing matching pyjamas, each family member...
Natamani nijue kuhusu huyu dada.Jinsi alivyopokea suala la Nguza Vicking na mwanae Papii kocha kufungwa kifungo cha maisha.
Je alijisikuaje kupokea taarifa ya kutolewa kwao gerezani kwa msamaha...
Mtunzi: Washawasha
Ilikuwa ni siku ya jumamosi mida ya saa kumi na mbili jioni,mimi Juma nina miaka 18 kwa sasa,nilienda kuoga ili kuweka mwili safi kwa ajili ya mtoko wa kwenda kwenye party moja...
RIWAYA: KOSA
MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA
SIMU:+255713776843
+255762219759
WHATSAPP:+255713776843
SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU
MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA...
Waungwana clouds FM kimewatokea nini? Mbona haina nguvu kama zamani? Namaanisha frequency zao siku hizi zipo chini sana uki tune station yao inafokafoka tu. Yaani kwasasa wanaopatikana bila kuinua...
Ni jambo la kusikitisha kwa huyu binti kukatishwa uhai na mumewe kumkata na shoka kichwani siku ya tarehe 25, kwa kile kilichodaiwa muwe alichukia kuandaliwa chai siku ya sherehe ya kuadhimisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.